MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #41
Hahahaha MwanajamiiOne, Kongosho, King'asti, Lizzy, Smile, Kipipi, Kaunga na wajukuu zangu wote bila kumsahau mzee mwenzangu Bishanga..... Babu yangu Mtuweta (RIP) aliwahi nambiaga hakuna kitu kizuri na kitamu kama kuoana na rafiki yako. Na ili ujue na ujihakikishie kuwa uliyemuoa ni rafiki yako ni pale unapothubutu kuachia kaushuzi mbele yake bila woga.... Hata kama kaushuzi kenyewe kanaambatana ile harufu ya matokeo ya kufakamia mayai ya kuchemsha na maharage.......
Samahani kama nimewakwaza lakini habari ndio hiyo.
Mungu aendelee kumlaza genius Mtuweta mahali pema peponi. Amen
Siku hizi umekuwa mjukuu mtukutu. Ntakuachia kalaana uolewe na jidume kubwa la maadui....:sleepy:Hahahaha Babu bwana, ...............haya nimekusoma mjukuu wako Mtiifu.
Asprin bana!
Siku hizi umekuwa mjukuu mtukutu. Ntakuachia kalaana uolewe na jidume kubwa la maadui....:sleepy:
.........Babu nimekukosea nini tena jamani? Mie natafuta rafiki Babu nije unipe mbinu mbinu??Siku hizi umekuwa mjukuu mtukutu. Ntakuachia kalaana uolewe na jidume kubwa la maadui....:sleepy:
Au aolewe na komando kipensi!
Hahahaha MwanajamiiOne, Kongosho, King'asti, Lizzy, Smile, Kipipi, Kaunga na wajukuu zangu wote bila kumsahau mzee mwenzangu Bishanga..... Babu yangu Mtuweta (RIP) aliwahi nambiaga hakuna kitu kizuri na kitamu kama kuoana na rafiki yako. Na ili ujue na ujihakikishie kuwa uliyemuoa ni rafiki yako ni pale unapothubutu kuachia kaushuzi mbele yake bila woga.... Hata kama kaushuzi kenyewe kanaambatana ile harufu ya matokeo ya kufakamia mayai ya kuchemsha na maharage.......
Samahani kama nimewakwaza lakini habari ndio hiyo.
Mungu aendelee kumlaza genius Mtuweta mahali pema peponi. Amen
Its easy to tell that KING'ASTI is a woman on another league of wisdom
Salute, salute, salute......................
Ukirudi na mimba usimwambie bibi yako, manake wewe na umbea ni sawa TOT na kapteni Komba..........Babu nimekukosea nini tena jamani? Mie natafuta rafiki Babu nije unipe mbinu mbinu??
Rafiki, kama ulishaingia kwa gia ya kunyenyekea na kumwita baba nyiingi, sijui ukibadilika na kumfanya rafiki utaingia kwa gia ipi..................... sina uhakika sana kwa hili......................Wapenzi natumaini wote mu wazima.
Nimekuwa nikisoma mawazo yenu hapa jamvini juu ya mahusiano na kujikuta nachanganyikiwa zaidi ya kuwaelewa. Picha niliyoipata kwa muda ni kutomfanya mpenzio kama mume/mke wako bali awe rafiki. Nilikuwa na mawazo potofu kuwa kunyenyekea, kuenzi mpenzi ndio njia ya kumfanya aelewe kuwa ninampenda but reactions za wengi ilikuwa ni no, no and no. Soulmate aligoma kuvuliwa viatu lol, Lizzy akagoma kunyimwa unyumba....................matokeo yake ni kuwa tunashauriwa mume/mke wako awe rafiki yako, rafiki zaidi ya mume/mke.
Najiuliza how do we make/turn our spouses/partners your friend?? Na wakati gani huu urafiki unaanza kujengwa, tukiwa marafiki au tukiwa tushakula viapo?
Making him/her your friend than your spouse.
Kipipi, tayari sahihi, ushasoma?Ngoja Mbu aje.....
Mie kausingizi kananinyemelea, Fixed Point tasavali njoo utie sahihi hapa.....nitakuja kusoma baadae!!
Kipipi, tayari sahihi, ushasoma?
Wapenzi natumaini wote mu wazima.