cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,376
- 2,393
Watanzania mungu atusaidie tuweze kuona mbele sidhani kama hso wazungu kutolipa kodi ni jambo la wewe kufurahia labda kama ww sio wa kwetuHahaha,Vita ya makinikia haijawahi kumuacha mtu salama..!
Niko hapa delux bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki.
Kama vijana wenyewe ndo hawa no wonder nchi hii iko iv ilivyoHahaha,Vita ya makinikia haijawahi kumuacha mtu salama..!
Niko hapa delux bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki.
Vilaza ni wengi mno kuanzia viongozi wa nchi hadi huku chini kwenye jamii yenyewe, nchi hii ingekuwa haina vilaza wengi ccm ingekuwa iko makumbusho na kubaki historia tu kama iliwahi kuongoza serikali, huwezi kuwa na wasomi jamii ya ya akina Lipumba, Mruma, Osyoro, Maganda mabudi, Mzee Lodilofa aliyewatukana Wadanganyika baada ya kuwaibiwa sana huku wakimchekea chekea na kiongozi mkuu kutwambia tumuache nchi ameitumikia kwa uaminifu mkubwa mno huku kiongozi mkuu kila siku analilia nchi imeharibiwa ili hali yeye alikuwa sehemu ya waharibifu hao, na waliojaribu kuyasema ayasemayo leo aliwananga kuwa wanachuki na tawala zilizokuwepo, hivyo kwa muktadha huo naye yuko kwenye kundi la vilaza.Stupid n ignorant ama kweli mtumwa ni mtumwa tuu poor tanzanians nchi ina vilaza wengi
Utasaidiwa aje kuona mbele wemwenyewe hutoi hata tongotongo jichoni tunakazana kujenga ukuta merarani huku sheria ina ruhusu kupitisha makinikia bila kuchenjua.Watanzania mungu atusaidie tuweze kuona mbele sidhani kama hso wazungu kutolipa kodi ni jambo la wewe kufurahia labda kama ww sio wa kwetu