Makinikia ya dhahabu yaruhusiwa tena kupelekwa nje ya nchi kama zamani

Inashangaza mno! Nafikiri magu ataiacha Tz kama alivyoikuta matumaini yetu yanapotea.
Kwa mtazamo wangu hakuna linaloshindikana ila nadhani tunakosa proper approach ya vitu vingi sana tuache kuweka siasa kwenye mambo yanayohitaji taaluma.... Ni uchungu, unapoona msomi mnaetarajia ataleta mabadiliko katika sector fulani, kwa kuwa kiti alichokalia ni cha uteuzi anashindwa kutumia weledi ama taaluma, anabaki kuwa praise and worship member

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza mno! Nafikiri magu ataiacha Tz kama alivyoikuta matumaini yetu yanapotea.
Unajua story za vijiweni zinawaponza sana watu wanaofikiri wana akili kuliko waliopo katika maamuzi, matokeo yake mtu huyo anapopata nafasi ya kuwa mwamuzi mara nyingi anaanza kufanyia kazi tafiti za vijiweni ambazo mara nyingi ni nightmare na sio uhalisia. Matokeo yake inakuwa kuharibu tu mambo yaliyokuwepo wakati hana jipya la kusaidia kurekebisha hali aliyoikuta.
 
Na kipindi hiki cha corona mambo haya yanapita bila kufahamika na kujadiliwa na bunge au umma.
 
Nimesoma jinsi jamaa anavyoweka maelezo yake ya dharau kana kwamba hakuna lililofanyika, bora angeuliza yameruhusiwa kwa makubaliano gani?
 
Afadhali na sisis tuanze kufaidika sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…