Tetesi: Makinikia yameanza kusafirishwa tena?

Kaa kwa kutulia. Ilogi ukimwi na magonjwa ya zinaa yapo sana.
 
Leo yametoka malori ya makinikia 40,nimehasabu.Yanalindwa na mapolisi.Yanaelekea mjini.Nadhani bandarini wanajua.Hii ni exodus!
 

kwani nani alisaini mikataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…