Makipa wanaoongoza kwa clean sheet kwenye ligi kuu ya NBC, kipa wako yupo nafasi ya ngapi?

Makipa wanaoongoza kwa clean sheet kwenye ligi kuu ya NBC, kipa wako yupo nafasi ya ngapi?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Vinara wa Clean Sheets Ligi Kuu ya NBC 2024/25.
1. Moussa Camara 1️⃣5️⃣
2. Patrick Munthary 1️⃣0️⃣
3. Djigui Diarra 0️⃣9️⃣
4. Mohamed Mustafa 0️⃣9️⃣
5. Yona Amosi 0️⃣8️⃣
6. Metacha Mnata 0️⃣7️⃣
7. Yakoub Seleman 0️⃣7️⃣
IMG_5353.jpeg
 
Walisema anaitwa screen protector nashangaa anachoweza uwanjani ni kuvaa bukta mlegezo
 
Msimu Bora kwa camara
Yanga bingwa!!
Umeanza vizuri ukamaliza vibaya..Anaway,ubingwa wa msimu huu utaamuliwa zaidi nje ya uwanja maana timu zote zina misuli ya kiuchumi tofauti na misimu mingine ambayo mara nyingi unamkuta mmoja yupo hoi.
 
Back
Top Bottom