Unajua mmbongo si wa kumuachia biashara,ni lazima akuhalibie bila wewe kujua mapema.Bora ukawa na vituo 2 au kimoja cha biashara na ukaimanage vyema kuliko kuwa na 7 ambapo Wafanyakazi uliowaachia ni wezi na wanakuhalibia brand.Kingine baada ya watu kumuona amefanikiwa ni lazima ushi dani kutoka kwa new comers +graduate wasio na ajira uwepo.Huyu jamaa sikio linazidi kichwa
Aongee na wahudumu wake
ha ha ha ha ha,atatumia mwenyewe kwanza;linapokuja suala la kuuzia watu,lazima afuate taratibu na vibali vinavyotakiwa;vinginevyo itakuwa tatizo.Mh watu wataharsha
Mkuu mrangi,sukari ya nini tena kwenye juisi!?Mabungo-
Unatoaa mbegu zile,una saga na blender,
Unachuja mbegu na kichujio,ile juice nzito ya mabungo iliyotoka kwenye tunda za ndani una mix na maji yaliyochemshwa una changanya na Sukari....juice ya bungo tayari
Ubuyu hivyo hivyo au unaweza chukua ubuyu ukaziloweka baada ya Muda Unachuja mbegu za ubuyu na kubaki maji mazito ya ubuyu una mix na maji na Sukari,juice tayari
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikionacho kwa huyo jamaa atapanic muda si mrefu, biashara itamshinda.Kwasababu kama ni wewe umekuwa mtu wa lawama sana utafikiri ukilaumu watu wataacha. Idea yako ni yako tu, wewe ndiye unaeijua vizuri.Huyo jamaa nishewahi kuangalia interview yake YouTube.
Kiukweli amenishangaza sana yani utazania Juice hapa Tanzania amaenza kutengenez yeye wakati zimeanza tangu zaman.
Ushauri...anachotakiwa kufanya kuwa postive way katika kuona ni namna gani anaweza kulikamata soko.
Ushindani katika biashara ni jambo lakawaida sana anachotakiwa kutafuta jinsi gani anaweza kushindana lakn asianze kujiona Vistm kwamba kuna ma-Done wameingilia kazi yake..
Sent using Samsung Galaxy Note7
hiyo inakua inakuza brand ya huyo jamaa bila wao kujuaHyu jamaa kuna kipindi raia walikuwa washaanza kutumia hadi vikombe vyenye picha yake....wabongo kwa kuiga iga ni nuksi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umechokisema huo ndio ukweli wenyeweNikionacho kwa huyo jamaa atapanic muda si mrefu, biashara itamshinda.Kwasababu kama ni wewe umekuwa mtu wa lawama sana utafikiri ukilaumu watu wataacha. Idea yako ni yako tu, wewe ndiye unaeijua vizuri.
Ndio maana. Ilianza Uber leo watu kibao wameiga, kuna TAXIFY, DIDI CHUXING, MOOVN, LYFT, VAYA na makampuni kibao.
Na yameleta league kali sana kwa UBER lakini bado anakomaa.
Dunia iko hivyo, komaa ni ubunifu tu.
Ujaelewa mada, ajakuswa yeye ishu ukianzisha wewe unaambiwa umemuiga yeye.
hivi kuna mkoa watu wanakunywa kahawa kama Dar?binasfsi nitaanzisha Togwa na mbege point ni kuboresha tu hakuna kipya wajameni, ila iyo ya stasbuck coffee kwa tz nahis haitofanya vizuri kunajamaa apo alikua na wazo labda mikoa baadhi yenye baridi watu ndo hupendelea kahawa na vitu vya moto motoh
Sent using Jamii Forums mobile app