Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
-
- #21
natoa million 100 ukinionyesha andko kwmb YESU kuvaa kanzu na sandals tyr ni muislam, nionyeshe ni wp yesu aliingia msktini usnambie sinagogi au hekalu la wayahudi haya majengo yote mawili hayakuwahi kuwa kanisa wala masjid au mskiti wa waislam, nionyeshe wp alitawaza eti akaingia masjid.Naahidi kutoa milioni moja mkinionyesha Yesu kavaa suti au raba kanisani🙂
ndo maana nasema hauna akili haya makobazi ndo viatu na utamadun wa watu wa middle east havina uhusiano wowote na dini wala ucha MUNGU suruali sjui suti na utamaduni wazungu, wakati huohuo kabla ya ujio wa waarabu na wazungu sisi waafrika tulikuwa na mavaz yetu ya ngozi za wanyama na majani ya miti na wengne walikuwa wanaish wakiwa uchi kbs, so walipokuja wahuni waarabu na wazungu wakaturithisha tamadun zao na dini zao halafu matahira kama ww mko busy kupambania dini za wageni kuonyesha ipi bora kuliko nyngne.Andiko linasema Yesu aliwaruhusu wanafunzi wake wavae makobazi. Umeelewa andiko?
Hilo vazi halina mbwembwe, ni kobazi na kanzu tu halinaga kupendezaIla mm kanzu tena nyeupeee ndo inanivutia na kupendeza
Wewe ndio huna akili mfuasi mbumbumbu wa Jehova wa Makunduchi... Hata haujui unachochangiando maana nasema hauna akili haya makobazi ndo viatu na utamadun wa watu wa middle east havina uhusiano wowote na dini wala ucha MUNGU suruali sjui suti na utamaduni wazungu, wakati huohuo kabla ya ujio wa waarabu na wazungu sisi waafrika tulikuwa na mavaz yetu ya ngozi za wanyama na majani ya miti na wengne walikuwa wanaish wakiwa uchi kbs, so walipokuja wahuni waarabu na wazungu wakaturithisha tamadun zao na dini zao halafu matahira kama ww mko busy kupambania dini za wageni kuonyesha ipi bora kuliko nyngne.
kwenda kafirane na majini uko masjid. Komaen na dini yenu ya shetani allah achaneni na wakristo kwan hata mume wenu mudi aliukuta na akauacha.Wewe ndio huna akili mfuasi mbumbumbu wa Jehova wa Makunduchi... Hata haujui unachochangia
Njoo nikuvize hlf uende ukweniHilo vazi halina mbwembwe, ni kobazi na kanzu tu halinaga kupendeza
Hata mimi ukinionesha picha ya Muhammad kavaa suti au raba nakupa million moja.Naahidi kutoa milioni moja mkinionyesha Yesu kavaa suti au raba kanisani🙂
Makobazi ni vazi la jangwani.Msione aibu, Kanunueni Kobazi mtinge nazo kuhubiri Injili, Hivyo ndo Yesu alivyowaagiza wanafunzi wake 12,
Mtu yeyote anayebeza Kobazi anambeza Yesu
hao matahira hawajui pia kwmb ni utamaduni wa huko mashariki ya kati hata wakristo wa huko huvaa mavaz hayo na makobazi havina uhusiano na dini.Makobazi ni vazi la jangwani.
Makobazi ni vazi la jangwani.
Umeona eh!hao matahira hawajui pia kwmb ni utamaduni wa huko mashariki ya kati hata wakristo wa huko huvaa mavaz hayo na makobazi havina uhusiano na dini.