M Mchafuzi Member Joined Apr 24, 2008 Posts 45 Reaction score 21 May 14, 2008 #1 Jamani ninatatizwa kidogo kuhusu awa walimu wa soka katika ligi za Spain,Italy na UK, je ni kweli wanafundisha soka ama ni wataalamu wa ku-assemble good pofessional players?
Jamani ninatatizwa kidogo kuhusu awa walimu wa soka katika ligi za Spain,Italy na UK, je ni kweli wanafundisha soka ama ni wataalamu wa ku-assemble good pofessional players?