Makocha Simba na Yanga Kutomaliza msimu

Makocha Simba na Yanga Kutomaliza msimu

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Natabiri kati ya Omog na Lwandamina au wote kutomaliza msimu huu
na ukiwaweka kwenye mizani, kocha wa Simba ndio yupo hatarini zaidi.
Ni maoni yangu tu karibuni kwa mjadala
 
Labda huyo wa matopeni. Yanga ilishapita kwenye huo ujinga miaka mingi
 
Hao akina MAPAMA na mwenzie KABURU dawa yake ni KUMPA TIMU MO tu? Timu ishakaa sawa wanaanza UCHIZI wao...KOCHA ana matatizo gn? Na timu ipo vzr tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom