K Kizibo255 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 515 Reaction score 376 Aug 25, 2017 #1 Natabiri kati ya Omog na Lwandamina au wote kutomaliza msimu huu na ukiwaweka kwenye mizani, kocha wa Simba ndio yupo hatarini zaidi. Ni maoni yangu tu karibuni kwa mjadala
Natabiri kati ya Omog na Lwandamina au wote kutomaliza msimu huu na ukiwaweka kwenye mizani, kocha wa Simba ndio yupo hatarini zaidi. Ni maoni yangu tu karibuni kwa mjadala
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Aug 25, 2017 #2 Labda huyo wa matopeni. Yanga ilishapita kwenye huo ujinga miaka mingi
mwandende JR JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,090 Reaction score 1,336 Aug 25, 2017 #3 Hao akina MAPAMA na mwenzie KABURU dawa yake ni KUMPA TIMU MO tu? Timu ishakaa sawa wanaanza UCHIZI wao...KOCHA ana matatizo gn? Na timu ipo vzr tu? Sent using Jamii Forums mobile app
Hao akina MAPAMA na mwenzie KABURU dawa yake ni KUMPA TIMU MO tu? Timu ishakaa sawa wanaanza UCHIZI wao...KOCHA ana matatizo gn? Na timu ipo vzr tu? Sent using Jamii Forums mobile app
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,339 Aug 26, 2017 #4 Sibonike said: Labda huyo wa matopeni. Yanga ilishapita kwenye huo ujinga miaka mingi Click to expand... Acha dadii wewe Hans alifukuzwa mwaka gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Sibonike said: Labda huyo wa matopeni. Yanga ilishapita kwenye huo ujinga miaka mingi Click to expand... Acha dadii wewe Hans alifukuzwa mwaka gani? Sent using Jamii Forums mobile app