OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sijui kwa nini wachambuzi huwa hawajipi muda wa kutafuta ukweli.
daaah jana nimewasikikiza Mawingu Ni aibu sijui wataeemaje leo NI AIBU.... wamepotosha watanzania wangapi kwa ujinga na uchambuzi ule ulioja hisia
Mau ni mbwa kama mbwa wengine.View attachment 2056472
ona huyu pamoja na uzee wote,ila hana muda wa kutunza heshima
Huyu Maulidi mshamba sana.....anafikiri watu wote ni kama kale kakikundi kake ka mazombi wanaokimbia hovyo mabarabarani kama vichaaView attachment 2056472
ona huyu pamoja na uzee wote,ila hana muda wa kutunza heshima
Kitenge ni adui namba moja wa Simba Sports ClubView attachment 2056472
ona huyu pamoja na uzee wote,ila hana muda wa kutunza heshima
GENTAMYCINE mungu anakuona!!!!! Ule uzi wa kipuuzi uufute sasaView attachment 2056391
View attachment 2056395
Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa anaokoa point 3 kwa ujinga wa refa?
Kwa msiojua English msikilize Hitimana
Kitenge ni moja ya wachambuzi wenye unazi sanaView attachment 2056472
ona huyu pamoja na uzee wote,ila hana muda wa kutunza heshima
cc:Kocha mwenyewe ameelezea vizuri zaidi,wale waliosema matola alikuwa anamuhujumu siyo kweli,refarii ndy kazingua mara mbili
Mihemko!!!
Ata mtetee na kukashfu waandishi, watu wenye akili timamu hawaitaji kujua Sheria za soka ili ku tetea upuuzi alio ufanya kocha.
Kanuni kubwa na ya Kwanza ya Soka Duniani ni FAIR PLAY alicho fanya kocha kutoka Spain hakikutarajiwa kufanywa na kocha wa kariba yake. Ni Kama kocha wa jalalani hivi.
I wishi I kudu bi Paschal wawa...ningempiga makonde Pablo kwa kunisukuma kiboya mbele ya mashabiki.