Makocha wa muda ( Interim Managers ) kama Ole Gunnar Solskjaer wasipewe mikataba ya kudumu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ushahidi unaonyesha kwamba kazi wanayoifanya wanapokuwa makocha wa muda inalenga kushawishi viongozi wawape mikataba ya kudumu .

Santiago Solari ni mfano halisi wa andiko hili , hata huyu Ole Gunnar ( ambaye tayari ameanza kupepesuka ) siku Man wakibugi wakampa mkataba wa kudumu mtaona madudu yake rasmi
 
Sitaki kuliamini sana hili ila inawezekana limebeba ukweli fulani ndani yake.
 
hata ziddane alianza kwa kupewa tu kwa muda.hata makocha wengi huwa wanapewa timu kwa muda baadae ndio wanakuwa wakubwa na kuanza kutengeneza cv na kupaa kiviwango.

kama unayosema yana ukweli basi ni 0.1%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi unaonyesha kwamba kazi wanayoifanya wanapokuwa makocha wa muda inalenga kushawishi viongozi wawape mikataba ya kudumu .

Santiago Solari ni mfano halisi wa andiko hili , hata huyu Ole Gunnar ( ambaye tayari ameanza kupepesuka ) siku Man wakibugi wakampa mkataba wa kudumu mtaona madudu yake rasmi
Uliona mbali sana aisee.......
 
Back
Top Bottom