Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
akili kichwani mwaoHaha hua nawaamΙia wapenzi wa man u, huΖ΄u masai ni trap
Muepukeni vinginevΖ΄o mtajuta.
Sitaki kuliamini sana hili ila inawezekana limebeba ukweli fulani ndani yake.Ushahidi unaonyesha kwamba kazi wanayoifanya wanapokuwa makocha wa muda inalenga kushawishi viongozi wawape mikataba ya kudumu .
Santiago Solari ni mfano halisi wa andiko hili , hata huyu Ole Gunnar ( ambaye tayari ameanza kupepesuka ) siku Man wakibugi wakampa mkataba wa kudumu mtaona madudu yake rasmi
Tayari mkuuTuna imani na Ole na tunamtaka apewe mkataba
GGMU
Sasa subirini awape dozi kamili maana kapewa funguo ya chumba cha silaha kali pale Old TraffordTayari mkuu
unamkumbuka Santiago Solari ? kabla ya mkataba wa kudumu alikuwa moto , baada ya kusainiwa tu balaa likaanza !Sasa subirini awape dozi kamili maana kapewa funguo ya chumba cha silaha kali pale Old Trafford
Ole ni mpindua meza maarufu usimfΓ₯nanishe na vitu vya ajabu kwanza atafanya usajili wa akiliunamkumbuka Santiago Solari ? kabla ya mkataba wa kudumu alikuwa moto , baada ya kusainiwa tu balaa likaanza !
Twende kazi .hata ziddane alianza kwa kupewa tu kwa muda.hata makocha wengi huwa wanapewa timu kwa muda baadae ndio wanakuwa wakubwa na kuanza kutengeneza cv na kupaa kiviwango.
kama unayosema yana ukweli basi ni 0.1%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri moto zaidi
Uliona mbali sana aisee.......Ushahidi unaonyesha kwamba kazi wanayoifanya wanapokuwa makocha wa muda inalenga kushawishi viongozi wawape mikataba ya kudumu .
Santiago Solari ni mfano halisi wa andiko hili , hata huyu Ole Gunnar ( ambaye tayari ameanza kupepesuka ) siku Man wakibugi wakampa mkataba wa kudumu mtaona madudu yake rasmi
bado kidogo itafahamika tu , mwanzo alikuwa anavaa suti za michezo , baada ya kupewa mkataba ameanza kuvaa suti za ofisiniUliona mbali sana aisee.......
Yaani huyu bwana huyu atapata taabu sana.bado kidogo itafahamika tu , mwanzo alikuwa anavaa suti za michezo , baada ya kupewa mkataba ameanza kuvaa suti za ofisini
Hahaaaaaaaa*OGS kama wanasiasa tu kipindi cha kampeni utafaidi akishaapishwa hutoona kitu*
Sent using Jamii Forums mobile app