Makocha wa muda ( Interim Managers ) kama Ole Gunnar Solskjaer wasipewe mikataba ya kudumu

Mkuu ulisema ukweli, ndio tunashuhudia
 
Moja ya vijiwe vyangu niliwaambia hili OLE Apewe mdaaa sanaaa uingereza wanna tabia ya kusoma game yako na wakiigundua weakness yako umekwisha... Kocha anatakiwa Apewe mda kujua atahandle vip stress za kupoteza na kuirudisha team ktk ubora wake... MANU hakua na mpira mzuri chini ya Ole ila ulikua ni mpito wa furaha ya wacheza kwa kuondoka kwa MOU...


MANU Itashuka Sanaa na hasa msimu unao amini usiamini....

Comment ya OLE Leo inatoa mashaka juu ya uzalendo wa baadhi ya wachezaji kwa maana rahisi lazima kutakua na block mbili ktk team.....
 
hata ziddane alianza kwa kupewa tu kwa muda.hata makocha wengi huwa wanapewa timu kwa muda baadae ndio wanakuwa wakubwa na kuanza kutengeneza cv na kupaa kiviwango.

kama unayosema yana ukweli basi ni 0.1%.

Sent using Jamii Forums mobile app
Twende kazi .
Kazi kwel kwel....Zidane alikuwa world class player, na amefanya kazi chin ya world class managers ( Carpelo, Anceloti, Mourinho, Benitez nk) in short alikuwa na uzoefu tu wa kutosha..sio huyu ole , ni bonge la mistake kumpa timu, hata hzo hela za usajil walizomtengea hatzifanyia lolte la maana, hana confidence kweny maamuz na kwa pressure ya man u hataweza lolte , anamtegemea sana fergie kwenye maamuz.....zama zimebadilika sio kila homa ni malaria, Uongozi wa juu na wenyewe una shida wapo kama wacheza kamari....Tatizo ni kubwa sana man u
 
Nina mashaka sana na uwezo wa ki Akili ya binadamu ambaye iwe baya au nzuri yeye anacheka tu Yaani meno nje mfano Rais mstaafu Jakaya , Wiliam Ruto DP wa Kenya na Kocha wa Man Utd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…