Makocha wa muda ( Interim Managers ) kama Ole Gunnar Solskjaer wasipewe mikataba ya kudumu

Apewe muda hata wa misimu miwil ..........tumu kama hiyo mashetani hata akipewa malaika haiwezi
 
Hivi vilabu vikubwa vinafanya kosa kubwa sana kuwapa wachezaji wao wa zamani timu ili wafanyie majaribio na matokeo yake ni kushusha cv ya klabu.

Solskjaer hajawahi kuwa na uzoefu wowote wa kumfanya akabidhiwe timu kama Man United. Alipewa timu ya Cardiff City na alichemsha vibaya hadi akatimuliwa sasa mtu kama huyo ndio eti anapewa kibarua cha kuinoa timu kubwa kama Manchester United ni utani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…