Makocha walioingiza pesa nyingi kwa kuuza wachezaji

Makocha walioingiza pesa nyingi kwa kuuza wachezaji

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
#FAHAMU Makocha walioingiza pesa nyingi kwa kuuza wachezaji katika klabu moja

L. Jardim - €919m
J. Mourinho - €730m
A. Wenger - €686m
C. Ancelotti - €673m
M. Allegri - €664m
R. Benitez - €617m
D. Simeone - €565m
J. Jesus - €526m
U. Emery - €523m
R. Mancini - €517m

Aaron Arsenal

Double A
 
Mourinho kakuza kipaji gani?wakati yeye ndiyo muuaji vipaji?
Mtambua vipaji alikua Ferguson na sasa Klop,Simeone pia.Wenger alikua anawatambua wafaransa wenzake tuu.
 
Siyo kukuza vipaji mleta mada kasema makocha wanaoongoza kupata hela kuuza wachezaji
Mourinho kakuza kipaji gani?wakati yeye ndiyo muuaji vipaji?
Mtambua vipaji alikua Ferguson na sasa Klop,Simeone pia.Wenger alikua anawatambua wafaransa wenzake tuu.
 
Back
Top Bottom