Makocha wanaotisha zaidi Duniani

Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau.

Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake.
 
Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyatakiwa kuwepo hapo badala yake.
What a real strike again from Nifah on Shabiki Maandazi there?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau.

Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyatakiwa kuwepo hapo badala yake.
Niko kuwatania wanangu wa Man U 😅
 
Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau.

Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyatakiwa kuwepo hapo badala yake.
Naunga mkono hoja yako
 
Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau.

Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake.
klopp asiwepo,acha mshahara
 
Utakuwa shabiki wa rede. Shabiki wa mpira huwezi kuwaacha akina Fabio Capello,Ancelloti,Wenger,Mourinho halafu eti uweke andazi Tenhag. Tenhag ni level za akina Pochettino, Unai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…