Makocha wapewe mamlaka kamili ya kusajili wachezaji kwa kadri ya maono yao

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Kwa mtazamo wangu timu zetu ni lazima ziwaachie mamlaka makocha inaowasajili ili makocha hao waweze kusajili wachezaji inaowaona wanaowafaa LA sivyo Kwa kuwapa wachezaji ambao pengine hawafai au hawafundishiki inaweza kusababisha tatizo LA kumuona kocha hafai,kumbe kikwazo ni kocha kutopewa mamlaka ya kupendekeza wachezaji anaowahitaji ,
*wepesi wa mchezaji akiwa katika position Fulani
*striker anayetumia akili,mwepesi,mwenye nguvu.
*etc
TUWAPE MAMLAKA MAKOCHA,NA SIO MABENCHI YA UFUNDI KUPENDEKEZA.
 
Kibongo bongo ni ngumu sana, utagusa Miradi ya watu, maaana kila kitu ni Janja Janja tu
 
Back
Top Bottom