Kwa mtazamo wangu timu zetu ni lazima ziwaachie mamlaka makocha inaowasajili ili makocha hao waweze kusajili wachezaji inaowaona wanaowafaa LA sivyo Kwa kuwapa wachezaji ambao pengine hawafai au hawafundishiki inaweza kusababisha tatizo LA kumuona kocha hafai,kumbe kikwazo ni kocha kutopewa mamlaka ya kupendekeza wachezaji anaowahitaji ,
*wepesi wa mchezaji akiwa katika position Fulani
*striker anayetumia akili,mwepesi,mwenye nguvu.
*etc
TUWAPE MAMLAKA MAKOCHA,NA SIO MABENCHI YA UFUNDI KUPENDEKEZA.