Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Ethiopia inafundishwa na kocha wao mzarendo basi imekuwa nongwa eti na sisi tumpatie timu kocha mzarendo kwa sababu misri kafungwa na ethiopia! hii inaonesha kwa kiasi gani watu wanaopenda ushirikina wanataka kutuulia timu yetu ya Taifa stars.hawana nafasi watu hao kumsogelea KIm Paulsen kumshauri mambo ya kiswahili uwanjani.
Taifa stars inapocheza tulikuwa tunafuatilia vitu viwili kwa wakati mmoja. Ushindi na kuinua kiwango cha ufundi . Timu yeyote inapocheza soka la kitabu inasaidia sana wachezaji kuonesha vipaji vyao na hatimaye kuuzika nje ya nchi kiraisi.Taifa stars kwa hivi sasa inaonesha soka la kitabu zuri sana ingawa ufundi huo upo hatua za awali {infant stage}.
Tokea enzi za FAt mpaka TFF tumetumia makocha wazarendo kumi na sita hivyo hamna hata mmoja aliyethubutu kutuletea heshima ya soka nchini. mbaya zaidi kuna mmoja alisababisha tukafungwa saba bila huko algeria!na wengine tulijikuta tunashika mkia hata kombe la challenge hapa hapa af mashariki.
Mpira wa kiufundi ni baby steps hivyo huko tuendako tukikaa miaka mitano na paulsen KIm, amin amin nawahakikishieni sio tuu tutachukua kombe la Afcon bali hata world cup tutacheza.zuri zaidi wachezaji wetu watavaa mashati ya vilabu vikubwa duniani.