C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Aug 13, 2022 #1 Simba niliwaambia kuleta kocha mzungu ni upumbavu usiomithilika Wapi Moses Phiri unamweka Kiyombo na Boko kweli? Ninyi viongozi bado mnafanya maskhara kama ya mwaka jana?
Simba niliwaambia kuleta kocha mzungu ni upumbavu usiomithilika Wapi Moses Phiri unamweka Kiyombo na Boko kweli? Ninyi viongozi bado mnafanya maskhara kama ya mwaka jana?
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Aug 14, 2022 #2 Tatizo sio kufungiwa yaani hata timu mnashindwa kupanga