Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 Jun 24, 2010 #1 sehemu kubwa ya makocha wa timu zilizofanya vibaya kwenye mashindano yanayoendelea nchini a.kusini watatimuliwa
sehemu kubwa ya makocha wa timu zilizofanya vibaya kwenye mashindano yanayoendelea nchini a.kusini watatimuliwa
mpuuzi Member Joined May 29, 2010 Posts 99 Reaction score 17 Jun 25, 2010 #2 Lazima Fabio Capello awe mmojawao
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Jun 25, 2010 #3 Italy & France walishatangaza makocha wapya kabla hawajenda World Cup.Carlos Pereira,Otto Rehegal,Paul Le Guen wameamua kubwaga manyanga
Italy & France walishatangaza makocha wapya kabla hawajenda World Cup.Carlos Pereira,Otto Rehegal,Paul Le Guen wameamua kubwaga manyanga
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 66 Jun 25, 2010 #4 Sauzi wao mkataba na Pereila umekwisha so kocha wa Cameroon nae anatakiwa kuachia ngazi kwa timu yake kutia AIBU AFRICA Hta kupata kapoint kamoja !!
Sauzi wao mkataba na Pereila umekwisha so kocha wa Cameroon nae anatakiwa kuachia ngazi kwa timu yake kutia AIBU AFRICA Hta kupata kapoint kamoja !!