Nicksoni Audax
Member
- Dec 27, 2020
- 6
- 10
Rudi kashabikie rede, sidhani kati ya makocha waliopo kama kuna mwenye cv ya Mourinho.Wapo makocha wenye mkosi mbaya na wakuchekesha kwa uwezo wanakuwa nao lakini sijui huwa wanakosea mara kwa mara huanza vizuri ila umaliza vibaya
Mimi namtaja Jose Mourinho. Huyo kocha kati ya timu alizoziharibu ni Chelsea Man u
Je mwingine ni nan?
Zama zake zinaenda ukingoni!Mou mzuri sana ila in recent years amekutana na timu zinazodidimia ili azikwamue wakati hajazoea
Siyo kweli, sema tu baadhi ya timu anazokubali kufundisha ndio zinamponza. Mou mpe aina ya wachezaji anayotaka hatakuangusha.Zama zake zinaenda ukingoni!