makocha wetu wajifunze kutoka kwa Mourinho

makocha wetu wajifunze kutoka kwa Mourinho

Joined
Jan 27, 2012
Posts
35
Reaction score
3
makocha wetu wanatakiwa kujifunza kitu kutoka kwa Jose Mourinho (kocha wa real madrid) kwa kuwapenda na kuwaheshimu wachezaji, kwasababu tunajenga timu na siyo kupayuka na kuwakoromea wachezaji hali inayowakatisha tamaa
 
mimi julio nitamwambia kibadeni,halafu atamwambia sekilojo chambua,then mwambusi,poulesen,aaaaa na EDIBILY LUNYAMILA.
 
Back
Top Bottom