M marvin ogochuku Member Joined Jan 27, 2012 Posts 35 Reaction score 3 Apr 13, 2012 #1 makocha wetu wanatakiwa kujifunza kitu kutoka kwa Jose Mourinho (kocha wa real madrid) kwa kuwapenda na kuwaheshimu wachezaji, kwasababu tunajenga timu na siyo kupayuka na kuwakoromea wachezaji hali inayowakatisha tamaa
makocha wetu wanatakiwa kujifunza kitu kutoka kwa Jose Mourinho (kocha wa real madrid) kwa kuwapenda na kuwaheshimu wachezaji, kwasababu tunajenga timu na siyo kupayuka na kuwakoromea wachezaji hali inayowakatisha tamaa
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Apr 13, 2012 #2 eti enhee ila wa yanga na simba zaidi..
M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Apr 13, 2012 #3 mimi julio nitamwambia kibadeni,halafu atamwambia sekilojo chambua,then mwambusi,poulesen,aaaaa na EDIBILY LUNYAMILA.
mimi julio nitamwambia kibadeni,halafu atamwambia sekilojo chambua,then mwambusi,poulesen,aaaaa na EDIBILY LUNYAMILA.