kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Malezi na makuzi ya wazungu na yale ya Waafrika walio wengi ni tofauti kabisa. Hii inachangia kuwepo na tofauti pia hata kwenye uwezo wetu wa kukabiliana na changamoto zetu mbalimbali ukubwani. Wazazi wetu sisi watu weusi hawajui kumbembeleza mtoto bali wanachukua short cut katika KUZIMA kero za watoto wao badala ya KUZITATUA kero za watoto wao. Hii ndiyo inayowafanya makocha wetu wa Kiafrika wawe wabovu kwa kazi ya ukocha. Hasira zao ziko karibu na wanapenda kuzima kero kuliko kutatua kero za mchezo na wachezaji. Wanapanic, kukata tamaa haraka sana, na wanapenda mafanikio mazuri ya hapohapo na kwa muda mfupi. Wanashindwa kutumia saikolojia katika kutatua kero za mchezo husika. Wanabaki na bifu na wachezaji kwa muda mrefu sana tofauti na makocha wa kizungu ambao wanachelewa kukasirika lakini wanawahi kusamehe pia.
Ndiyo maana mimi klabu yenye kocha mweusi hainipi shida sana, najua itaboronga muda mchache tu ujao.
Ndiyo maana mimi klabu yenye kocha mweusi hainipi shida sana, najua itaboronga muda mchache tu ujao.