Makocha weusi wana tatizo la hasira zilizopitiliza

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Malezi na makuzi ya wazungu na yale ya Waafrika walio wengi ni tofauti kabisa. Hii inachangia kuwepo na tofauti pia hata kwenye uwezo wetu wa kukabiliana na changamoto zetu mbalimbali ukubwani. Wazazi wetu sisi watu weusi hawajui kumbembeleza mtoto bali wanachukua short cut katika KUZIMA kero za watoto wao badala ya KUZITATUA kero za watoto wao. Hii ndiyo inayowafanya makocha wetu wa Kiafrika wawe wabovu kwa kazi ya ukocha. Hasira zao ziko karibu na wanapenda kuzima kero kuliko kutatua kero za mchezo na wachezaji. Wanapanic, kukata tamaa haraka sana, na wanapenda mafanikio mazuri ya hapohapo na kwa muda mfupi. Wanashindwa kutumia saikolojia katika kutatua kero za mchezo husika. Wanabaki na bifu na wachezaji kwa muda mrefu sana tofauti na makocha wa kizungu ambao wanachelewa kukasirika lakini wanawahi kusamehe pia.

Ndiyo maana mimi klabu yenye kocha mweusi hainipi shida sana, najua itaboronga muda mchache tu ujao.
 
hahhahahaa mkuu kwaio unataka kusema azam fc ndo bingwa mismu huu? just trying to connect the dots.
 
hahhahahaa mkuu kwaio unataka kusema azam fc ndo bingwa mismu huu? just trying to connect the dots.
Mkuu kaa hapo hapo utaona mwenye kuhusu Omog na Lwandamina, nguvu za soda. Kipa Akban wa Simba amekososa nini kikubwa mno? Ona Tambwe alivyoachwa na Simba, Ona kocha Julio, Ona Mayanja, Ona, ona, ona......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…