Makofi kwa Magufuli wa Bwana Misosi

Makofi kwa Magufuli wa Bwana Misosi

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Baada ya kutoka na nyimbo zake kama vile mabinti wa kitanga, Misosi nitoke vipi na kisha kuzimika ghafla, hatimaye Bwana Misosi amerudi upya na Wimbo wake Makofi kwa Magufuli.

Ndani ya wimbo huu bwana Misosi amemsifia Rais jinsi anavyopambana na Rushwa,Uwajibikaji n.k. Nashindwa kuuweka apa ila ukienda blog kama vile Bachema utaukuta.
 
nimeisikiliza hiyo nyimbo nimejifunza kuwa Bwana Misosi atafute tu shuhuli zingine mziki awaachie kina Darasa.
Misosi kaja na ujumbe Darasa kaja na Banjuka song,So ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom