vipi nitoke!Nitoke vipi
Yaan we Daudi bana hahahahahnimeisikiliza hiyo nyimbo nimejifunza kuwa Bwana Misosi atafute tu shuhuli zingine mziki awaachie kina Darasa.
Ni mziki si mziki ?Misosi kaja na ujumbe Darasa kaja na Banjuka song,So ni vitu viwili tofauti
Hususani njaa zaoWaache vijana waonyeshe ya mioyoni mwao.