Makofi kwetu wanaume

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Mume amempigia simu mtalaka wake ataka warudiane*

Mume : Nisamehe naomba turudiane
Mke : Una kikombe hapo?
Mume : No! Kwanini?
Mke : Kachukue kikombe jikoni
Mume : Sawa nishaenda chakua, Sema...
Mke : Kibwage kuanzia juu mpaka chini...
Mume : Eeh! Haya tayari
Mke : Kimevunjika sio!!... Sasa kirudishe kilivokua...
Mume : No, hakijavunjika, nilichukua cha plastic...
Mke : Muone vile!!!.. wewe mwanaume mkorofi sana, haya njoo unichukue[emoji28][emoji28][emoji28]

*MAKOFI KWETU WANAUME POPOTE TULIPO*[emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122]
 
Mwanaume anapaswa kuwa rijali kuanzia kichwani mpaka kwenye gegedeo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Hatari saana
 
hahahahahahaaaa huyo mwanamke inaonesha ni mwepesi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…