Makohozi kutotoka kwenye koo

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,080
Reaction score
2,871
Habari wapendwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kusikia Kama kitu kigumu kwenye koo na makohozi mazito ambayo hayatoki ambapo hata nikila chakula kinarudi nimetembea mahospitalini nimepewa madawa antibiotics bado sijapona mpaka now nko totally stressed siku inapita Bila kula naona kawaida msaada kwa Mwenye jaman.
 
Du pole Sana aisee. Nenda hospital kubwa zaidi Kwa uchunguzi mkubwa
 
Labda ni kansa ya shingo nenda ukapimwe usipewe tu antibiotics


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Probably unatatizo linaitwa Gastroesophageal reflux disease
Ni kawaida kuleta dalili kama unazozisikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…