balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Omba upatiwe dawa zako ubugie.Lile la nimekosa Mimi mnisamehe tayari limejichinja.
Uzi tayari.
Unajuaje kama kipato changu hakiongozeki? Jamaa lenu limejichinja.Kwaio kujiuzulu kwa ndugai kunakutajirisha au kipato chako kinaongezeka? Chura wa utopoloni!
Kuna jamaa lingine lilitajwa kwa jina la Ka📱sijui nalo litachinjwa!Huku lile la kwetu linaloitwa Mwi🦵 likicheka kwa furaha!😂Lile la nimekosa Mimi mnisamehe tayari limejichinja.
Uzi tayari.