Makolo tushike lipi?

masonya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
973
Reaction score
762
Toka kichapo Cha mbwa Koko makolo mnaongea Kama wehu ebu acheni kuweweseka,ni nini hasa sababu ya kutepeta wakati mvua mali yetu?ni Nini hasa
1.uchawi ,pale walipoonekana Yanga wanamwaga maji ya mwamposa
2.Kocha Bora wa mwezi oktoba Hana uwezo?,kocha mwenye unbeaten 29.amefukuzwa
3.kocha wa viungo hafai? fitness. iko chini.amefukuzwa.
4.usajili mbovu?
5..hujuma za wachezaji? 5.kusimamishwa.
Dunduka hamna uwezo wa kufungia wachezaji waandamizi 5 mtaaibika zaidi.
Mlizoea kubebwa na wale machagudoa hamkustahili kuwepo hata nafasi mliyopo.usajili wenu wa marefa na wachambuzi unaumiza sasa.
 
Lilikuwa suala la Muda udhaifu wa Simba kuonekana.
 
sawa binti maimuna, tukutane next round this season
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…