Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Baada ya mechi ya raja casablanca vs vipers kumalizika nimeona makolo wengi wakijitamba kwamba vipers ni wabovu na ndio timu ambayo wanatakiwa kuchukua points 6.
Ukweli ni kwamba vipers sio wabovu kwa kiwango cha kusema makolo nae atajipigia kirahisi rahisi tu ukweli ni kwamba vipers walikutana na timu ambayo imewazidi sana ubora hata makolo mnaemwona vipers mbovu leo hii nendeni morroco mkacheze na wale waarabu nina uhakika mtapewa kichapo kinakaribiana tu walichopewa vipers. Raja casablanca ni next level kwa viwango vya timu zetu za Afrika mashariki.
Makolo wamekua na kasumba mbaya sana ya kupanga matokeo yao kwa mdomo kabla mechi haijachezwa bila kumheshimu mpinzani sasa pale ambapo matokeo yanakuja tofauti ndipo wanaanza vitendo vya kuzomea makocha, kulaumu wachezaji au kung'oa viti uwanjani.
Makolo jengeni utamaduni wa kumheshimu mpinzani. Jueni kila timu inaingia uwanjani kutafuta matokeo. Usiidharau timu ambayo bado haujacheza nayo.
Na sio kwenye mpira tu siku za karibuni makolo wameibuka kwa kasi na kuwa wachambuzi wa sheria na masuala ya mikataba mbaya zaidi mwishoe wanaishia kuumbuka tu. Rage apewe PhD ya heshima.