Simba kwa saizi ishavuka stage ya kufungwa bao 5
Simba wakati inatengeneza njia ili ije ifike hapa ilipo ndio ilikutana na zahma kama hizo
But this time around timu zote kubwa zikipangiwa na Simba lazima zikune kichwa
Nyie endeleeni kuruka ruka na makoti ya oversize huko Tunisia, hizo ndio level zenu nyinyi failures
Hata Vipers afungwe 10 bado hamuwezi kujifananisha nao, wao ni bora kuliko nyinyi na ndio maana wanashiriki mashindano ya timu bora.