Makolokocho

Makolokocho

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
kifo cha Thomas Mashali kinasikitisha sana .

ukweli ni kwamba nilichosikia ni kwamba huu umeme wa REA kule Kwembago udongo wake sio sawa na migomba ya Tukuyu,

Hata hivyo mikutano ya kisiasa iliyopigwa marufuku kuna uwezekano kwamba Bodi ya mikopo imechangia tatizo la uhaba wa sukari maeneo ya mafinga na Lukozi ukizingatia kwamba kipindi cha uchaguzi tuzo za wasanii kama Diamond au Ally Kiba au Shiza kichuya hazionekani live kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV

Naipenda Sana Jf kama vp Ngoja Jifungue Accnt ya Jf [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom