Makomando wa Mbowe wako wapi baada ya Mbowe kushindwa Uenyekiti CHADEMA?

Makomando wa Mbowe wako wapi baada ya Mbowe kushindwa Uenyekiti CHADEMA?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambatana na Mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando maana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi.

Swali! Je, walikimbilia wapi?
 
Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambana na mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando mana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi.

Swali! Je walikimbilia wapi?
Hawakuongia mkataba na mbowe bali mkataba na chama. Itategemea mwenyekiti wa sasa kama anawahitaji ama lah
 
Was FAM that bad to the Party?

Hivi hiyo misharaha ya lak 4 kweli ndio FAM ashindwe kulipa?

Mkiambiwa siasa ni kuheshimiana mnaleta sarcasm, oookay.
 
Back
Top Bottom