D deblabant JF-Expert Member Joined Oct 7, 2022 Posts 2,650 Reaction score 4,065 Mar 6, 2025 #1 Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambatana na Mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando maana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi. Swali! Je, walikimbilia wapi?
Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambatana na Mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando maana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi. Swali! Je, walikimbilia wapi?
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Mar 6, 2025 #2 deblabant said: Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambana na mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando mana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi. Swali! Je walikimbilia wapi? Click to expand... Hawakuongia mkataba na mbowe bali mkataba na chama. Itategemea mwenyekiti wa sasa kama anawahitaji ama lah
deblabant said: Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambana na mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando mana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi. Swali! Je walikimbilia wapi? Click to expand... Hawakuongia mkataba na mbowe bali mkataba na chama. Itategemea mwenyekiti wa sasa kama anawahitaji ama lah
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Mar 6, 2025 #3 Was FAM that bad to the Party? Hivi hiyo misharaha ya lak 4 kweli ndio FAM ashindwe kulipa? Mkiambiwa siasa ni kuheshimiana mnaleta sarcasm, oookay.
Was FAM that bad to the Party? Hivi hiyo misharaha ya lak 4 kweli ndio FAM ashindwe kulipa? Mkiambiwa siasa ni kuheshimiana mnaleta sarcasm, oookay.