Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Marekani yaripoti kuwa makomandoo 60 wa Ukraine leo asubuhi wamejaribu kufanya shambulio la ghafla la kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine unaomilikiwa na majeshi ya Urusi toka mwezi March. Urusi imewanywa wotee.
Jaribio hilo lililofeli limefanyika wakati wataalamu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia (International Atomic Energy Agency (IAEA)) wakijiandaa kuutembelea mtambo huo wa nyuklia mkubwa zaidi barani Ulaya kushuhudia uharibifu uliofanywa na mashambulizi ya majeshi ya Ukraine dhidi ya mtambo huo.
Pia rejea: Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia
====