Makombora ya Urusi yaupiga Mji wa Mpakani wa Belgorod ndani ya Urusi kimakosa na kujeruhi watu 4

Makombora ya Urusi yaupiga Mji wa Mpakani wa Belgorod ndani ya Urusi kimakosa na kujeruhi watu 4

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
1,149
Reaction score
3,963
Ndege ya Kivita aina ya Su-34 imeupiga mabomu mji wa Belgorod ndani ya Urusi yenyewe kimakosa na kusababisha watu 3 kujeruhiwa sana. Mlipuko Mkubwa ulisikika umbali wa Kilometa 11 na moshi mkubwa ukitanda angani. Wataalamu wanasema kuna uwezekano rubani wa ndege hiyo alipewa COORDINATES za Uongo baada ya Mifumo ya Computer ya ndege hiyo kudukuliwa.

Ndege hiyo ilitakiwa kushambulia ghala la Silaha la Ukraine lililopo katika mkoa jirani wa Kharkiv ndani ya Ukraine. Mkoa wa Kharkiv ulikombolewa na wanajeshi wa Ukraine mwaka jana na kuyalazimisha majeshi ya Urusi kuukimbia mkoa huo.

=========

Russia accidentally bombs own city near Ukraine​


At least three people were injured as a jet fired a weapon into the city of Belgorod, according to Russian state media.

A Russian Sukhoi-34 supersonic warplane accidentally fired a weapon into the city of Belgorod near Ukraine late on Thursday, causing an explosion and injuring three people.

Video footage from the site showed piles of concrete on the street, several damaged cars and a building with broken windows. One shot showed what appeared to be a car upside down on the roof of a store.

Belgorod region governor Vyacheslav Gladkov announced a state of emergency overnight and said there was a crater measuring 20 metres (65 feet) across on one of the main streets. Four cars and four apartment buildings were damaged, he added.

Three people had been injured, he said. “Thank God there are no dead,” Vyacheslav Gladkov said in a statement on Telegram, adding that an apartment building had been evacuated overnight.

The Russian news agency Tass cited the Russian Defence Ministry as saying that a Su-34 supersonic fighter-bomber had accidentally discharged a munition.

“As a Sukhoi Su-34 air force plane was flying over the city of Belgorod there was an accidental discharge of aviation ammunition,” Tass cited the Defence Ministry as saying. It did not say what kind of weapon was involved.

The ministry said some buildings had been damaged and announced a probe was already under way, according to Tass.

The Belgorod region is one of several parts of southern Russia where targets such as fuel and ammunition stores have been rocked by explosions since the start of what Moscow calls its “special military operation” in Ukraine on February 24, 2022.

Mayor of the city of Belgorod Valentin Demidov visits the accident scene following a large blast in a street in Belgorod, Russia, April 20, 2023. Mayor of Belgorod City Valentin Demidov via Telegram/Handout via REUTERS ATTENTION EDITORS - THIS IMAGE WAS PROVIDED BY A THIRD PARTY. NO RESALES. NO ARCHIVES. MANDATORY CREDIT.

Mayor of the city of Belgorod Valentin Demidov visits the accident scene following a large blast in a street in Belgorod, Russia, on April 20, 2023 [Mayor of Belgorod City Valentin Demidov via Telegram/Handout via Reuters]

Al-Jazeera
 
Video kamili inayoonesha Mlipuko huo ulivyotokea. Mlipuko huo umesababisha Magari kadhaa kuharibiwa, Majengo kadhaa kuharibiwa pamoja wa majeruhi 2 walioko hali mbaya uku mmoja akiwa katika hali isiyo mahututi.
 
Ndege ya Kivita aina ya Su-34 imeupiga mabomu mji wa Belgorod ndani ya Urusi yenyewe kimakosa na kusababisha watu 3 kujeruhiwa sana. Mlipuko Mkubwa ulisikika umbali wa Kilometa 11 na moshi mkubwa ukitanda angani. Wataalamu wanasema kuna uwezekano rubani wa ndege hiyo alipewa COORDINATES za Uongo baada ya Mifumo ya Computer ya ndege hiyo kudukuliwa. Ndege hiyo ilitakiwa kushambulia ghala la Silaha la Ukraine lililopo katika mkoa jirani wa Kharkiv ndani ya Ukraine. Mkoa wa Kharkiv ulikombolewa na wanajeshi wa Ukraine mwaka jana na kuyalazimisha majeshi ya Urusi kuukimbia mkoa huo.

At least three people were injured as a jet fired a weapon into the city of Belgorod, according to Russian state media. Russia accidentally bombs own city near Ukraine
Hakunaga bahati mbaya kuna kilichokuwa kinatafutwa
 
Itakuwa alitumwa na mabeberu huyo rubani atafutwe
 
putin ameonya endapo majeshi ya ukraine yasipo jisalimisha bas belngrod ataigeuza majivu ndani ya siku tatu.

wananchi wa belengrod wamuomba zelensk awape msaada wa ulinzi
 
Back
Top Bottom