Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.
Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?
Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.