Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mkuu siku hizi unaishi Airport ukifuatilia watu wanaosafiri? Tena unawakagua kabisa kama wana rundo la mizigo?Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.
Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?
Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
mkuu si alisema hakuna safari za nje, ni za ndani tuHaki yake kusafiri, au mlitaka asitoke nje ya Dar ?
Wale akina nani?! Unamaanisha wale aliowapa tahadhali in advance?! Ni drug dealers anaweza kumchukia Bashite wakati aliwafanyia favor?! Hivi kuna drug dealer anayekamatwa baada ya kuambiwa tunakuja kukukamata?!Bashite hawezi kwenda South Africa wale kwenye list yake wapo SA mnadanganyana kila siku tunawaangalia tuu SA akifika vijana wanamalizana nae kama mnabisha mpandisheni ndege ashuke oliver watu wana hasira nae mnatangaza uongo huko SA sio bongo kiongozi anaweza kutembea na siraha mpaka studio binafsi harafu watu wanalialia JF...narudia tena acheni kuzusha uongo SA ni kipusa huyo
Si babake anajidai kufuta safari kwa watumishi wa umma au ma Rcs hawahusiki hapa?! . Mbona ma RCS wengine wametii amri hiyo?!Haki yake kusafiri, au mlitaka asitoke nje ya Dar ?
mimi na wewe.mkuu si alisema hakuna safari za nje, ni za ndani tu
Na wewe nenda kwani umezuiwa na nani?Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.
Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?
Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
Naaaam mkuuMagufuli Alishasema Mtu wa serkali hasafiri nje mpaka Amtume yeye, Sasa mnathubutuje kuhoji Kama Ametumwa Akamwone one of the Supplies!
Ngoja tukae kimya mkuu.Magufuli Alishasema Mtu wa serkali hasafiri nje mpaka Amtume yeye, Sasa mnathubutuje kuhoji Kama Ametumwa Akamwone one of the Supplies!