Makonda afunguka tuhuma za kutoka na Kajala

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
BAADA ya kuzagaa kwa habari kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ' kutembea' na mrembo wa Bongo Movies , Kajala Masanja , Mheshimiwa huyo ameibuka na kuzungumzia tuhuma hizo kuwa hazina ukweli wowote zaidi ya kutaka kumchafua katika uongozi wake.

Mapema wiki hii , mitandao mbalimbali ya kijamii ilimtuhumu mheshimiwa huyo kwamba ana uhusiano na muigizaji huyo kwa kudai amekuwa akionekana naye mara kwa mara.

Makonda ambaye ameonesha uchapakazi uliotukuka baada ya kuteuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa wilaya hiyo mapema mwaka huu , ameweka bayana kuwa kwa muda mrefu kuna watu wenye nia mbaya ambao wanaendesha kampeni ya kumchafua .

"Ni muda mrefu tu, walianza kipindi kile wakati wa Bunge la Katiba nilipokwenda Bungeni na mwigizaji Yobnesh Yusuf ' Batuli ' , wakasema natembea naye , wakanyamaza . Sasa wamehamia kwa Kajala baada ya kufanya naye kazi.

"Hakuna ukweli wowote wanatungatunga tu mambo , watakuwa na sababu zao kwa sababu mtu kama Kajala , maneno yameibuka baada ya kufanya naye project ya kutafuta vipaji vya wasanii .

"Nimeshirikiana na wasanii wengi wa kiume katika project hiyo lakini kwa kuwa wameona mwanamke ni Kajala peke yake , wanasema vitu ambavyo havina kichwa wala miguu . Najua kuna wengine wanaoeneza haya mambo wanatumika kisiasa lakini mimi sijali .

"Waniache nifanye kazi, najitoa kwa wasanii kwa nia njema ya kutafuta wasanii ambao baadaye wataweza kujitegemea kwani sanaa ni ajira, kamwe hawawezi kurudisha nyuma juhudi zangu , " alisema Makonda ambaye amejiwekea utaratibu wa kukutana na wakazi wake kila Ijumaa kutatua migogoro ya ardhi .


Chanzo: GPL
 

Attachments

  • 1432979957049.jpg
    34.7 KB · Views: 2,869
Makonda hawezi acha mwanamke apite hivi hiviii ,hapo anajikatalisha Tu,
 
Mshahara wa ukuu wa wilaya unamzuzua, yetu macho..
 
kijana ambae hajaoa unapompa madaraka kama hayo unategemea nn? tatizo ni kwa waliomteua.
 
HUyo makonda asiyemjua nani? Kashalala had na mama ubaya, mabwana wengi waliolala na wema kajala kawapitia ndio mana wema anakuwa mgumu kumsamehe
ana uchungu na hao wanaume ye ni wa kwake mbn ye mwenyewe anaiba tu...
 
HUyo makonda asiyemjua nani? Kashalala had na mama ubaya, mabwana wengi waliolala na wema kajala kawapitia ndio mana wema anakuwa mgumu kumsamehe

Ukiwa rafiki wa Tanzania Sweetheart inabidi uwe na kazi ya ziada ya kuavoid bwana aliyelala na shost, sweetheart kakarimia wengi sana kitumbua.
 
Duu kama ni kweli, Kajala wee ni kiboko ya Wema maana nilishasikia Makonda ameshampitia mama ubaya.

Ni kweli, mbona kuna watu waliwaona wakati wanaingia hotelini? Na hata wahudumu walisema waliona vitu vya ajabu katika chumba walichofikia
(Usiniulize hivyo vitu maana sitakujibu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…