The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Katika hili sakata la kukemea tamaa za madaraka wanalokemewa wanaotaka Ubunge, hasa Makonda na wengine, hawa kina Bashiru na Polepole wamekuwa mbele mno hadi kusema wanayoyasema. Ndo Mwenyekiti wao anayasema.
Sasa ikitokea Mwenyekiti wao kawageuka, na hao 'wenye tamaa ya Madaraka wamepitishwa', naona la maana watakalolifanya ni kujiuzulu; vinginenevyo wataweka wapi sura zao? Tutawaamini vipi wakija kusema mengine kuwa Mwenyekiti kasema?