Aliwasema wengine, kwa DAB lazima lazima ameze maneno yakeHata mwenyekiti ameyasema hayo Mara kadhaa.
Kitu unachotakiwa kujua kwa sasa ni kwamba kwenye siasa hakuna suala linalokosa majibu.
Makonda anaijua CCM kuliko Bashiru na Polepole.
Kamati kuu ya CCM ina wajumbe 24 bwashee na hao ni wawili tu!
Hahahaaaa! Subiri uone matokeo ya kura za maoni.Ebu wacha vichekesho vya futuhi, Makonda nini anacho kifahamu?
Wew uilkula nini kinyesi au maana ndo watu mliomtukana edo mpka basiLabda sema Bashiru anaweza kujiuzulu, siyo Polepole maana kama alikubali kula matapishi yake kwa kukubali kuteuliwa u-DC, wakati alikuwa mstari wa kwanza kuupinga utaratibu wa kuwepo vyeo vya u-DC.
Akili zako ni afadhali ya bobi wanguWew uilkula nini kinyesi au maana ndo watu mliomtukana edo mpka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana siasa ni uchawi na utapeliHahahaaaa! Subiri uone matokeo ya kura za maoni.
Siasa ni sayansi!
Uchawi ni sayansi!Hapana siasa ni uchawi na utapeli