Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

...na akimpitisha tutampinga mahakamani kwa kufoji vyeti, huyu atakuwa kama kihiyo aliyevuliwa ubunge temeke miaka ileee.
 
Makonda ni kijana mpendwa mbele ya macho ya Mkulu. Watakuja kula maneno yao na kuaibika tu.
 
Hii ndo kona nzuri ya kumchinjia Makonda jangwani kama sio baharini
Akipitishwa ndio tutajua mtoto wa baba hata akinya mbele yake kwake yeye ni pafyumu
 
Wana la kujitetea. Watasema ile “tamaa ya madaraka” walimaanisha kwamba huwezi kuendelea kuwa RC huku ukiwa umetia nia. As long as Bashite kaachia uRC, hana tamaa[emoji4]. CCM ni wabobezi kwenye mambo ya kupiga u-turn highway
U turn kwenye zebra lines
 
Hii ndo kona nzuri ya kumchinjia Makonda jangwani kama sio baharini
Akipitishwa ndio tutajua mtoto wa baba hata akinya mbele yake kwake yeye ni pafyumu
 
Kwa maono yangu, Bashiru na Pole2 hawatendi haji. Wamekosa uthubutu wa kujiuliza sababu za wateule wa rais kukimbia na kwenda kugombea. Wamekosa Job satisfaction kwa nafasi walizokuwa nazo. Wanadhani kuwa ukuu wa mkoa ni hoja nzito No. Hoja nyingine ambayo ningeomba waangalie ni Job security. Mteule hajiamini kabisa. Haji ya kesho yakoje. Tumbua tumbua imepunguza security ya ajira zao. Kuwatuhumu ati wana tamaa ni matusi. Na mwisho nawaomba wazingatie uhuru wa mtu kuamua anachotaka. Uhuru wa kufanya atakalo. Maneno ya viongozi hao ni kuminya demokrasia ya mtu binafsi na ikiendelea itaota mizizi na kuvuka hata kwenye chama hawala. Usiku wa kuweka skiba ya maneno ni muhimu.
 
Hao hawatajiurulu ng'o watakuja na cover story nyingine
 
Thubutuu...
 
Kama Wana Kigamboni wakimchagua Makonda, sioni sababu ya hao watu kujiuzulu. Makonda kama watanzania wengine ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa so long as hajavunja sheria za nchi.
 
Mawia.
Huyu makonda ndio master mind wa mission zote za meko.
Kwa hio anajua Hadi chumbni kwa meko.
Meko ana ndimi mbili. Bashite asingeachia ukuu w mkoa kama meko asingemhakikihia uwaziri
Asante sana mkuu, ila kama huyu mtu atapewa uwaziri basi ndiyo niataamini kuwa kila mtu ana mjanja wake.
 
Watabadilika kama kinyonga walisha tuona atuna makali!
 
...na akimpitisha tutampinga mahakamani kwa kufoji vyeti, huyu atakuwa kama kihiyo aliyevuliwa ubunge temeke miaka ileee.
Nimesikia jina Kihiyo kati ya watia nia sijui Temeke au Ilala, ndiye yule yule au mwingine.?
 
Kwani majina ya wagombea kila jimbo anapitisha Meko.?
 
tatizo mkuu hao watu hawana mshipa wa aibu hata chembe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…