Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

Ndiyo washapewa pressure sasa jinyonge
Mchakato ukiwa fair, Makonda akashinda, kunahaja gani ya kujihudhuru! Au mie sielewi maana ya democrasia! Msiwape presha viongozi wetu kirejareja namna hii!
 
ninachijua ni kwamba ccm haijabadilika hata kidogo
 
Anacho kisema Magufuli na anacho kifanya ni vitu viwili tofauti, Sasa sijui unataka wajiuzulu kwa lipi wakati atakuwa amewapa maagizo mengine nyuma ya pazia.
 
Ebu wacha vichekesho vya futuhi, Makonda nini anacho kifahamu?
Kumbe bado hujaelewa siasa za ccm,
Kwa ufupi makonda anazijua fitna za ccm kuliko bashilu kwa ufupi.
 
Wanasiasa wengi wa Bongo hawana aibu kabisa na ni waongo balaa. Anaweza akasema hili leo, kesho akakanusha au akatafuta maneno ya ulaghai kuwapumbaza wananchi.
 
Unazani Mwenyekiti ni Chizi kuwateua hao watu ,,anawajua they Will do any thing anachotaka Mwenyekiti wao ni vipaza sauti tuu,kwa misimamo yao ya awali,walipaswa kukataa hata hizo teuzi walizo nazo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…