Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

Maagizo ya Mwenyekiti ambae pia ni Raisi ni amri.
Na hiyo itategemea atakavyo amka siku hiyo.
Hawapaswi kujiuzulu kwa kuwa wao wanatekeleza maamuzi ya Mwenyekiti wao.
 
Tatizo lake kubwa ni kuendekeza njaa, hana tofauti na hawa wafuatao.

1:Kabudi... Nimeokotwa jalalani

2:Jaffo... Mimi siyo kitu mbele ya mteuzi wangu maana ni fundi seremala tu.

Hivi mtu unajiondolea haki yako ya kuheshimiwa na jamii kisa tumbo?
Siasa sasa hivi ndo ajira kubwa toka serikalini, mtu anaona ni bora atetee njaa kuliko kutumia akili zake za kawaida. Wasomi hawana ajira wanakimbilia siasa, nafasi moja ya jimbo I gombea uwanja watu 700, hii si dalili njema kwa mustakabali wa nchi.
 
Wanasiasa wameamua kuweka aibu mfukoni... dogo atapita na maisha yataendelea.
 
Bila kumuongelea hamupati usingizi.. [emoji16]
Kiongozi munaye mupenda sana sana.. bila kusikia yake.. hamutulii.. najua mungekuwa na nafasi.. ya kumpa kura.. mungemmwagia teletele..

Sema ..... ...eeeee [emoji2]
Moja ya sifa kubwa ya MATAGA ni kutokujua kuandika Kiswahili fasaha. Nawaza pia mawazo yenu yatakua hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…