Makonda alichaguliwa na nani kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ?

We galagala wee ila ujue shughuli ndo ishaisha hapo, le chair wa committee ni makonda we mwite jina lolote, tupo tunaomkubali sana tu, na nyie mstupangie, kama vipi jikataeni sie tunalisongesha
 
Mimi ni Yanga lakini nafurahi sikumwona Mo Dewji kwenye kikao chini ya Makonda. Si mtu wa hadhi ya kuhudhuria vikao vya aina hiyo.
Kamati hewa hiyo ni level ya akina Haji Manara na Jerry Muro
 
Chuki yako dhidi ya bwana Makonda imefika climax, you are better than that, kipi kikubwa kuwa RC dar au kuwa mwenyekiti kamati ya uhamasishaji?
Hatumchukii ila tunajua na tunashuhudiwa kabisa...taifa stars haitafika mbali kwa uwepo wake tu....Mark my words.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte achana nae huyo aliepoteza ushawishi kwa bwana mkubwa anahangaika na kulobby kila sehem ili aonekane ana umuhim. Labda hio kamati itamhamasisha anyakue tena hela za watu lkn sidhani. Hivi GARI alionyng'anywa na ikolu limerudishwa??
 
Kama soka letu linaongozwa na watu wasiojua mpira mnashangaa nini kuwa na Timu ya uhamasishaji inayoongozwa na mtu asiyejua mpira?
 
Wale uliowaona wakimtangaza ndiyo wamemchagua. Au unataka tupige kura waTz wote ili kumpata mhamasishaji wa Timu?
ni akina nani na hiyo mamlaka wamepewa na nani ?
 
Nani anagharamia vikao vya kamati hii?
Kama ni TFF, vyema hizo hela zifanye kazi za maana.
 
Akina Okwi na wenzakoooo tufungeni goli kumiiii jamani.AMRI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimeshangaa hili jambo kuwepo kwa makonda
Mpira sio mdomoni mpira ni uwanjani makonda hana ushawishi wa kuhamasisha kutokana na sifa zake kiburi jeuri kiherehre ndio atamuamasisha nani? amepoteza mvuto kwa vijana wengi hiyo kamati ni kupoteza hela tu
Nimeghairi kuishangilia bora tufungwe tuache ubabaishaji na tujifunze
 
Adi huu ukweli wanakataa , Hivi mtu kama Makonda aliyekosa Busara anachaguliwa kua mwenyekiti kwenye kamati isiyotaka Mambo ya siasa akiongoze ? Yaani mnachekesha kweli...yaani ni mjinga gani atampelekea Huyo mwenyekiti siri na mbinu za mafanikio ? Yaani mtu anagombana na wanasiasa na watumishi mbalimbali kutokana na kauli chafu leo mmemleta na Huku FIFA.
Ngoja anogewe aje awaaibishe alafu FIFA iwashushie rungu...make Huyo ashindwi kuvuka mipaka ya hicho uhamasishaji.
 
kabisa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…