chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jan 18, 2025 #1 Nje ya box. Hii kwa wenye akili tu. Soma Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini na Ushahidi ni karipio la hadharani la RC Makonda kwa Mbunge Gambo Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa Lema, Makonda na Gambo vijana watatu wanaochukiana kutoka kwenye uvungu wa mioyo yao
Nje ya box. Hii kwa wenye akili tu. Soma Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini na Ushahidi ni karipio la hadharani la RC Makonda kwa Mbunge Gambo Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa Lema, Makonda na Gambo vijana watatu wanaochukiana kutoka kwenye uvungu wa mioyo yao
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Jan 18, 2025 #2 P(E) = n(E)/n(S). Yote yanawezekana.